Disco, night clubs,hotel, Casino na sehemu za Starehe Arusha – Tanzania

Kwanza kabisa kazi ni muhimu ili kujipatia kipato.
Vacations, Travel & Adventures @ RealAdventures
Kazi na dawa, maana yake baada ya kazi kuburudika ni muhimu ili ‘kurefresh mind’

Arusha ni jiji la kitalii, arusha ni kitovu cha utalii ambapo safari zote za kitalii hupangwa. Arusha pia ipo karibu na chanzo pekee cha madini ya Vito vya Tanzanite.

Hali ya hewa ya arusha ni nzuri sana kutokana na hewa nzuri inayotoka mlima meru.

Kulingana na shughuli za utalii, kilimo na madini mzunguko wa pesa ni mkubwa na hivyo watu wanakipato cha kuridhisha. Pia huduma za kibenki na taasisi za mikopo ni nyingi. Kuna bank zenye kutoa Credit card, na debit card za kimataifa kama VISA na mastercard.

Barclays Bank, CRDB bank, EXIM bank na NBC TANZANIa zinaongoza kwa kutoa VISA na Mastercard.

Arusha kuna Hotel za kitalii, kumbi za starehe, casino na disco.

Hotel ziko nyingi kuanzia nyota 1 na 2 ambazo ni budget,nyota 3, na 4 ni kawaida na nyota 5 ni luxury kabisa.

Hotel chache zina casino kama New Arusha Hotel na Mount Meru Hotel.

Night club pub zipo za babylon club na Pin point.

Kumbi za disco ni masai camp, boogaloo, Aquiline club, na triple A.

Wageni na wenyeji hujumuika kwa amani, karibu sana Arusha.

Accommodations, Vacations, Rentals, Adventure Travel, Tours & Getaways @ RealAdventures